Job 5:12-14


12 aHuipinga mipango ya wenye hila,
ili mikono yao isifikie ufanisi.

13 bYeye huwanasa wenye hekima katika hila yao,
nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali.

14 cGiza huwapata wakati wa mchana;
wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku.
Copyright information for SwhKC